Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Mtanzania achomoza ufungaji bora Ufilipino

UFILIPINO; MCHEZAJI wa Tanzania Mary Siyame, yupo kwenye kinyang’anyiro cha kuwania kiatu cha dhahabu katika fainali za Kombe la Dunia…

Soma Zaidi »

Kocha awapa 5 Watanzania kung’ara Kombe la Dunia

UFILIPINO; KOCHA Mkuu wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania ya mchezo wa Futsal, Curtis Reid,  amewapongeza wachezaji wake…

Soma Zaidi »

Obby Alpha: “Dunia Bila Watu Haina Ladha”

MWIMBAJI wa nyimbo za Injili nchini, Obby Alpha, amesema kuwa hata mtu akiwa na utajiri au mali nyingi, dunia inaweza…

Soma Zaidi »

Vita ya Pacome, Feisal, Ahoua yaahirishwa

DAR ES SALAAM; TUZO za TFF msimu wa mwaka 2024/25 zilizokuwa zifanyike Desemba 5, mwaka huu zimeahirishwa. Taarifa iliyosainiwa na…

Soma Zaidi »

Tanzania yang’ara fainali futsal Ufilipino

UFILIPINO; TIMU ya taifa ya wanawake ya mchezo wa futsal leo Novemba 26, 2025 imepata ushindi wake wa kwanza kwenye…

Soma Zaidi »

Hasheem Thabit: Mchezo ulikuwa mgumu

DAR ES SALAAM: NAHODHA wa Timu ya Basketball ya Dar City, Hasheem Thabit, amesema mashindano waliyoshiriki nchini Kenya yalikuwa na…

Soma Zaidi »

Ni vita Tuzo ya Mchezaji Bora

DAR ES SALAAM; SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetangaza wachezaji watano watakaowania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi…

Soma Zaidi »

Tanzania kamili Manila Kombe la Dunia Futsal

TIMU ya Soka ya Taifa ya mpira wa Futsal imewasili salama mjini Manila, Ufilipino juzi, tayari kwa michuano ya fainali…

Soma Zaidi »

Mzize atwaa Tuzo ya Goli Bora la Mwaka CAF

MOROCCO; MSHAMBULIAJI wa Yanga ya Dar es Salaam, Clement Mzize ametwaa Tuzo ya Goli Bora la Mwaka inayotolewa na Shirikisho…

Soma Zaidi »

Kopa: Msiangalie mabaya ya wasanii tu

DAR ES SALAAM:MSANII nguli wa muziki wa taarabu nchini, Khadija Kopa, amewataka watengeneza maudhui na wanahabari wa mitandaoni kuacha kuangazia…

Soma Zaidi »
Back to top button