Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Dk. Mwinyi akagua ujenzi ‘Sports City’ Fumba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa…

Soma Zaidi »

Mabondia wajiandae kwa ndondi za Dubai

TIMU ya Taifa ya Ngumi za Ridhaa inatarajia kushiriki mashindano ya ngumi ya dunia yatakayofanyika Dubai, Falme za Kiarabu mwezi…

Soma Zaidi »

Liverpool yamtafakari Olise kuwa mbadala wa Salah

TETESI za usajili zinadai klabu ya Liverpool inamtafakari nyota wa Bayern Munich, Michael Olise (23), kama mbadala wa Mohamed Salah…

Soma Zaidi »

Korosho Marathon yaja kwa watoto, wazee

BODI ya Korosho Tanzania (CBT) kwa kushirikiana na Kampuni ya Rhino Sports Talents Promotion imezindua vifaa vya mbio za Korosho…

Soma Zaidi »

Namsaidia tu Pipi Jojo

MENEJA wa Msanii wa Bongo Fleva, Grady Godlove 'Pipi Jojo', maarufu kama Chief Godlove, amefunguka kuhusu uhusiano wake na msanii…

Soma Zaidi »

Yanga inakong’ota tu

DAR ES SALAAM; YANGA imeibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya KMC mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika…

Soma Zaidi »

Kitawaka!

ENGLAND: Manchester City watakuwa uwanja wa nyumbani wa Etihad kuwakaribisha Liverpool, mchezo wa Ligi Kuu England utakaopigwa saa 1:30 usiku…

Soma Zaidi »

Gamondi alipochomoza katikati ya wazawa

NOVEMBA 4, mwaka 2025 Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) lilimtangaza Miguel Gamondi kuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa…

Soma Zaidi »

Mbeumo mchezaji bora EPL Oktoba

KIUNGO mshambuliaji wa miamba ya soka, Manchester United, Bryan Mbeumo ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Ligi ya Kuu England…

Soma Zaidi »

Ligi ya vijana Arumeru kuendelea kesho

ARUSHA: Mashindano ya Ligi ya Vijana wenye umri chini ya miaka 13 yanatarajiwa kuendelea kesho Novemba 8 kwa michezo minne…

Soma Zaidi »
Back to top button