Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Libasse Gueye, Mngqithi wang’ara Agosti Tuzo TFF

DAR ES SALAAM; Kiungo mshambuliaji wa Simba ya Dar es Salaam, Libasse Gueye, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Agosti…

Soma Zaidi »

Kocha Gaborone: Presha yote ipo Yanga

DAR ES SALAAM: KOCHA wa Gaborone United ya Botswana, Sean Connor, amesema presha kubwa ipo kwa Yanga kuelekea mchezo wa…

Soma Zaidi »

Mashindano ya KNK yaibua vipaji Bukombe

GEITA; Jumla ya vijana 6,100 kutoka timu 248 wamepata fursa ya kuonesha vipaji vyao katika msimu wa 10 wa mashindano…

Soma Zaidi »

Shemndolwa, Ondari mabingwa mashindano ya gofu ya Vodacom 2026

DAR ES SALAAM: Khalid Shemndolwa na Yvonne Ondari wameibuka mabingwa wa jumla katika mashindano ya gofu ya Vodacom Corporate Masters…

Soma Zaidi »

Ujenzi Akademi ya Michezo Malya wafikia asilimia 55

DODOMA; Serikali imesema hadi kufikia Agosti, 2026 ujenzi wa Akademi ya Michezo Malya umefikia asilimia 55. Waziri wa Habari, Utamaduni,…

Soma Zaidi »

Katambi awasamehe wasanii,atoa onyo kali

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Serikali imewafutia makosa baadhi ya wasanii na watengeneza maudhui mtandaoni…

Soma Zaidi »

Serikali yataja mikakati michezo kwa wenye ulemavu

DODOMA; Serikali imetaja hatua mbalimbali inazochukua kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kuhamasisha michezo kwa watu wenye ulemavu. Kauli…

Soma Zaidi »

Banana Zoro: Sauti ya kipekee iliyotoka katika familia ya muziki

KATIKA safari ndefu ya muziki wa Bongo Fleva, yapo majina ambayo yameweza kujenga heshima kutokana na kipaji, ubunifu na uwezo…

Soma Zaidi »

TRA United yaanza maandalizi kuivaa Dodoma Jiji FC

ARUSHA: TIMU ya TRA United imezindua Wiki ya Shamra Shamra yenye matukio mbalimbali ya kijamii na uhamasishaji kuelekea mechi yake…

Soma Zaidi »

Miss Universe kuhamasisha matumizi nishati safi

DAR ES SALAAM; Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba, amewapongeza washiriki wa shindano la urembo la Miss Universe Tanzania kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button