Picha

Kawishe apata bil2.2/- baada ya kuuza Tanzanite

MCHIMBAJI mdogo wa madini ya Tanzanite Anslemu Kawishe amepata Sh bilioni 2.2 baada ya kuuza vipande viwili vya Tanzanite kwenye…

Soma Zaidi »

Dk Yonazi ashiriki kikao cha Tume ya Pamoja (JPC) Tanzania, Msumbiji

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dk. Jim Yonazi ameshiriki kikao cha 15 cha Tume…

Soma Zaidi »

SENSA2022: Watoto katika mazingira magumu wahesabiwa Mara

ZOEZI la Sensa ya Watu na Makazi linalofanyika nchi nzima linaendelea mkoani Mara na kwamba makarani waliwaweza pia kuhesabu watoto…

Soma Zaidi »

Rwanda kama Tanzania, ni Sensa 2022

Kwa mara nyingine, wakati Tanzania ikifanya zoezi la Sensa ya Watu na Makazi 2022, nchini Rwanda zoezi hilo linaendalea kama…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu Majaliwa ahesabiwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akihojiwa na kutoa majibu ya dodoso kuu la Sensa ya Watu na Makazi kwa Karani wa…

Soma Zaidi »

Mchengerwa kuongoza Tamasha la #Sensabika

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohammed Mchengerwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la kuhamasisha Sensa la #Sensabika. Katibu…

Soma Zaidi »

Kikosi cha Yanga chawasili Sheikh Amri Abeid

Kikosi cha Yanga kimeshawasili kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid tayari kuwavaa Coastal Union ya Tanga.

Soma Zaidi »

Hali ilivyo Uwanja wa mpira wa Majaliwa, Ruangwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua uwanja wa Majaliwa baada ya kukamilika kwa sehemu kubwa ya maboresho ya uwanja huo, uliopo…

Soma Zaidi »

Profesa James Mdoe akikata utepe kuzindua Maktaba ya Mkoa wa Iringa

Soma Zaidi »

Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC

Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa…

Soma Zaidi »
Back to top button