Bunge

Huduma afya ya akili kuboreshwa

DODOMA : NAIBU WAZIRI wa Afya, Dk. Godwin Mollel amesema serikali imepanga kuboresha utoaji wa huduma za afya ya akili…

Soma Zaidi »

Wanyamapori kuwekewa uzio kudhibiti athari

DODOMA : NAIBU WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dunstan Kitandula amesema serikali itaendelea kuweka uzio katika baadhi ya maeneo ya…

Soma Zaidi »

Wabunge wahimiza uandaaji wa sera jumuishi za akili mnemba

DODOMA: WABUNGE wanawake wametoa wito kwa serikali kuharakisha mchakato wa uandaaji na utekelezaji wa sera jumuishi na zenye kuzingatia usawa…

Soma Zaidi »

Mafanikio Simba yachomoza bungeni

DODOMA; KLABU ya Simba imepongezwa kwa kufuzu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na pia kushika nafasi ya nne kwenye…

Soma Zaidi »

Mambo yanoga kiwanda cha kisasa uchapaji TSN

DODOMA; KAMPUNI ya Magazeti ya Serikali (TSN), imetekeleza ufungaji wa mitambo mipya ya kisasa ya uchapaji na mradi huo unatarajiwa…

Soma Zaidi »

Kampeni ya kisheria ya Mama Samia kuhitimishwa Juni

DODOMA: WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro ameeleza kuwa Wizara yake inaendelea na uratibu na utekelezaji wa Kampeni…

Soma Zaidi »

Wananchi milioni 2.69 wafikiwa msaada wa kisheria

DODOMA: WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro amesema Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia…

Soma Zaidi »

Mbunge: Ni makosa kuhamasisha kususia uchaguzi

DODOMA; MBUNGE wa Jimbo la Lupembe (CCM), Edwin Swalle, amesema ni makosa kuzuia uchaguzi au kuhamasisha watu wasishiriki uchaguzi kwa…

Soma Zaidi »

Halmashauri zisizo na stendi za kisasa zapewa maelekezo

DODOMA; WAKURUGENZI wote nchini ambao halmashauri zao zinahitaji kujenga stendi za kisasa wanatakiwa kutenga na kuainisha maeneo ya kujenga stendi…

Soma Zaidi »

Serikali yakusanya bil 192/- biashara mtandaoni

DODOMA; KAMPUNI 1,820 zimesajiliwa na kati ya Julai 2024 hadi Machi 2025 serikali imekusanya Sh bilioni 192.78 kutoka kwenye biashara…

Soma Zaidi »
Back to top button