Bunge

Serikali yatenga Sh bil.5.5 ujenzi nyumba 54 za walimu

KATIKA bajeti ya mwaka 2025/2026, serikali imetenga Sh bilioni 5.5 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba 54 za walimu nchi…

Soma Zaidi »

Kimei ahoji mpango wa serikali kukarabati masoko ya vijijini

DODOMA; MBUNGE wa Vunjo, Dk Charles Kimei (CCM) amehoji serikali akitaka kujua ina mpango gani wa kuboresha miundombinu ya masoko…

Soma Zaidi »

Upembuzi mradi maji Ziwa Victoria vijiji 30 wakamilika

DODOMA; WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso amesema serikali imekamilisha upembuzi yakinifu wa awali kwa ajili ya upanuzi wa Mradi wa…

Soma Zaidi »

Zuio uingizaji holela matunda nchini lazaa matunda

HATUA zilizochukuliwa na serikali za kulinda soko na kudhibiti uingizai holela wa matunda nchini, umeongeza uzalishaji wake kutoka tani 6,530,302…

Soma Zaidi »

TAMISEMI: Kuna mageuzi makubwa sekta ya elimu

DODOMA — Serikali kupitia Ofisi ya Rais – TAMISEMI imetangaza mafanikio makubwa katika sekta ya elimu ya msingi na sekondari,…

Soma Zaidi »

Tamisemi yaweka wazi gharama Uchaguzi Serikali za Mitaa

DODOMA —Ofisi ya Rais – TAMISEMI imeweka wazi matumizi ya Sh bilioni 254.82 kwa ajili ya kuratibu na kusimamia Uchaguzi…

Soma Zaidi »

TAMISEMI yaomba Sh trilioni 11.78 Bajeti 2025/26

Sh trilioni 1.45 ni fedha za nje, zikiwa na lengo la kuendeleza miradi ya kimaendeleo katika maeneo mbalimbali.

Soma Zaidi »

Kamati: Rombo ipewe kipaumbele mpango matumizi ya ardhi

MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Ardhi Maliasili na Utalii, Timotheo Mzava imeiomba serikali kupitia Wizara ya Ardhi Nyumba na…

Soma Zaidi »

Wabunge wasisitiza NEMC kuwa NEMA

WABUNGE wa Bunge la Tanzania wamesisitiza msimamo wao kutaka Baraza la Taifa la Hifadhi ya Mazingira( NEMC) kuwa Mamlaka ya…

Soma Zaidi »

Gambo ataka majibu ujenzi stendi Arusha

MBUNGE wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, amehoji serikali kuhusu ucheleweshaji wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa stendi…

Soma Zaidi »
Back to top button