Bunge

Spika: Bunge likivunjwa serikali inaendelea na kazi

SPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson amesema bunge likivunjwa haina maana serikali itakuwa likizo bali itaendelea na kazi yake. Alitoa…

Soma Zaidi »

Kaukau kutozwa ushuru

DODOMA; SERIKALI inakusudia kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha Shilingi 50 kwa kilo ya crisps (kaukau)  zinazozalishwa nchini, na…

Soma Zaidi »

Ushuru vinywaji vya kuongeza nguvu  kupunguzwa

DODOMA; SERIKALI inakusudia kupunguza kiwango cha ushuru wa bidhaa kwenye vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) vinavyozalishwa ndani ya nchi…

Soma Zaidi »

Uchaguzi Mkuu kugharamiwa na fedha za ndani

DODOMA; SERIKALI imesema Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2025 utagharamiwa kwa fedha za ndani. Kauli hiyo imetolewa…

Soma Zaidi »

Sanaa, burudani zaongoza kwa ukuaji

DODOMA; SEKTA ya sanaa na burudani ni miongoni mwa sekta tano zilizoongoza kwa ukuaji mwaka 2024. Kauli hiyo imetolewa na…

Soma Zaidi »

Mfumuko wa bei wapungua

DODOMA; Mfumuko wa bei nchini ulipungua na kufikia asilimia 3.1 mwaka 2024 ikilinganishwa na asilimia 3.8 mwaka 2023, Bunge limeelezwa.…

Soma Zaidi »

Vipaumbele vitano Mpango wa Maendeleo wa Taifa

DODOMA; WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amewasilisha bungeni Hali ya Uchumi wa Taifa…

Soma Zaidi »

Prof. Mkumbo anawasilisha Hali ya Uchumi wa Taifa

DODOMA; WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, muda huu anawasilisha bungeni Hali ya Uchumi…

Soma Zaidi »

Mikakati kukabili ongezeko wagonjwa wa kansa yaelezwa

DODOMA; SERIKALI imesema inatekeleza mikakati mbalimbali kukabiliana na ongezeko la wagonjwa wa kansa. Kauli hiyo imetolwa na Naibu Waziri wa…

Soma Zaidi »

Kanuni upigaji kura bajeti ya serikali kuboreshwa

DODOMA; BUNGE leo limepitisha mapendekezo ya maboresho ya Kanuni za Kudumu za Bunge, ambapo miongoni mwa maboresho hayo ni kuweka…

Soma Zaidi »
Back to top button