Chaguzi

Watu 435,119 kupiga kura Arusha Mjini

ARUSHA: Watu 435,119 wanatarajia kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, kwenye vituo vya kupiga kura 1,051 Jimbo la…

Soma Zaidi »

UWT:Wapuuzeni wanaopiga kelele,mkapige kura

KATIBU MKUU wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Susan Kunambi, amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga…

Soma Zaidi »

Kairuki aahidi kutatua migogoro ya ardhi Msigani

MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Kibamba, Angellah Kairuki, ameainisha vipaumbele 10 atakavyotekeleza katika kata ya Msigani ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge…

Soma Zaidi »

Serikali bega kwa bega na wafugaji Ngorongoro

Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imeendelea kuzijali jamii za kifugaji, hasa katika maeneo ya pembezoni kama Wilaya ya  Ngorongoro…

Soma Zaidi »

Wenye ulemavu Moro wapo tayari kupiga kura

MOROGORO: WATU wenye Ulemavu waliojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura wapo tayari kushiriki upigaji kura Oktoba 29, mwaka…

Soma Zaidi »

Ngajilo aahidi timu ligi kuu

IRINGA: Mgombea ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fadhili Ngajilo, ameahidi kuwa moja ya vipaumbele…

Soma Zaidi »

CCM yaahidi kukabili wanyama waharibifu

MOROGORO: MGOMBEA Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amesema kuwa endapo CCM itapewa ridhaa…

Soma Zaidi »

Ngajilo: Nitapanda meza bungeni kupigania huduma za kibingwa Iringa

Mgombea ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fadhili Ngajilo, amesema moja ya ajenda zake kuu bungeni itakuwa…

Soma Zaidi »

Serukamba: Nitatekeleza ahadi zangu zote

KIGOMA: MGOMBEA ubunge Jimbo la Kigoma Kaskazini kwa Chama cha Mapinduzi (CCM), Peter Serukamba amesema kuwa atatekeleza ahadi zake zote…

Soma Zaidi »

CCM kuifanya hospitali ya Mkapa kuwa ya kimataifa

MOROGORO: Mgombea Mwenza wa Urais kupitia CCM, Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema Serikali ya CCM imepanga kuibadilisha Hospitali ya Benjamin Mkapa…

Soma Zaidi »
Back to top button