Chaguzi

Serikali ya NLD yaahidi mikopo bila riba

MGOMBEA urais kupitia chama cha National League for Democracy (NLD), Doyo Hassan Doyo amesema serikali ya chama hicho itatoa mikopo isiyo…

Soma Zaidi »

Jitokezeni kupiga kura – Bananga

DAR ES SALAAM: KATIBU wa Siasa na Uenezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Bananga amewataka wananchi kujitokeza…

Soma Zaidi »

Mgombea urais Makini aahidi pareto Kilimanjaro

KILIMANJARO; MGOMBEA urais kupitia Chama cha Makini, Coaster Kibonde amesema serikali ya chama hicho itaanzisha kilimo cha pareto Mkoa wa…

Soma Zaidi »

Wanaopiga kura Zanzibar leo watajwa

ZANZIBAR; BAADHI ya wananchi wa Zanzibar leo wanapiga kura ikiwa ni sehemu ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Katika uchaguzi…

Soma Zaidi »

Kila la heri uhitimishaji kampeni, amani iendelee

LEO vyama vyote vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi mkuu nchini vinahitimisha rasmi kampeni zake, hatua muhimu inayoashiria ukomavu wa demokrasia ya…

Soma Zaidi »

Wanaopiga kura Zanzibar leo watajwa

BAADHI ya wananchi wa Zanzibar leo wanapiga kura ikiwa ni sehemu ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Katika uchaguzi mkuu…

Soma Zaidi »

Pazia kampeni Uchaguzi Mkuu lafungwa leo

VYAMA vya siasa vinahitimisha leo siku 60 za kampeni za Uchaguzi Mkuu ambazo zimetajwa kuandika historia kwa kuwa zenye amani…

Soma Zaidi »

ZEC yakamilisha maandalizi ya kura ya mapema

TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imethibitisha kukamilika kwa maandalizi ya kura ya mapema inayoanza leo Oktoba 28, 2025, ambapo baadhi…

Soma Zaidi »

Mwinyi Azindua Miradi ya Maendeleo Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imebuni…

Soma Zaidi »

Wapiga kura 175, 068 kupiga kura Ngorongoro

ARUSHA: MSIMAMIZI wa uchaguzi katika Jimbo la Ngorongoro mkoani Arusha, Emmanuel Mchome amesema katika jimbo hilo waliojiandikisha kupiga kura ni…

Soma Zaidi »
Back to top button