Siasa

Samia ataja fursa uhusiano na Finland

TANZANIA na Finland wamekubaliana kuimarisha biashara baina yao. Rais Samia Suluhu Hassan alisema hayo Ikulu, Dar es Salaam jana baada…

Soma Zaidi »

Balozi Awesi afanya mazungumzo na uongozi wa Karwa Qatar

QATAR: BALOZI wa Tanzania nchini Qatar, Habibu Awesi Mohamed amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Chuo cha Mowasalat (Karwa)…

Soma Zaidi »

Msuya asimulia makubwa ya Nyerere kabla hajafa (2)

JANA makala hii inayotokana na mahojiano maaalumu ya Septemba 2016 baina ya vyombo vya habari vya Kampuni ya Magazeti ya…

Soma Zaidi »

Takukuru ‘ikaze buti’ taifa lipate viongozi bora

TANZANIA inaelekea kufanya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Huo ni uchaguzi muhimu kwa…

Soma Zaidi »

Vyama vitangulize amani kuliko madaraka

MWAKA 1992 chini ya uongozi wa Mwalimu Julius Nyerere Tanzania iliingia tena katika mfumo wa vyama vingi vya siasa. Miongoni…

Soma Zaidi »

Nyumba 865 kuunganishwa gesi Mtwara, serikali kugawa mitungi ya ruzuku

NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) inatarajia kuunganisha mfumo wa…

Soma Zaidi »

Huduma afya ya akili kuboreshwa

DODOMA : NAIBU WAZIRI wa Afya, Dk. Godwin Mollel amesema serikali imepanga kuboresha utoaji wa huduma za afya ya akili…

Soma Zaidi »

Wanyamapori kuwekewa uzio kudhibiti athari

DODOMA : NAIBU WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dunstan Kitandula amesema serikali itaendelea kuweka uzio katika baadhi ya maeneo ya…

Soma Zaidi »

Wabunge wahimiza uandaaji wa sera jumuishi za akili mnemba

DODOMA: WABUNGE wanawake wametoa wito kwa serikali kuharakisha mchakato wa uandaaji na utekelezaji wa sera jumuishi na zenye kuzingatia usawa…

Soma Zaidi »

CCM: Mrema, G55 karibuni

MOROGORO: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinawakaribisha kujiunga na chama hicho John Mrema na wenzake kutoka katika kundi la G55 waliojiondoa…

Soma Zaidi »
Back to top button