Siasa

NGAJILO: Nitafanya Iringa uwe mji wa biashara

Mgombea ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fadhili Ngajilo, amesema dhamira yake ni kuona mji…

Soma Zaidi »

Igumbilo kumpa zawadi ya kiwanja Ngajilo ili awe jirani na changamoto zao

Wakati siku za kuelekea uchaguzi mkuu zikihesabika, wakazi wa Kata ya Igumbilo, Manispaa ya Iringa, wametoa ahadi ya kipekee kwa…

Soma Zaidi »

Wananchi Babati waonywa vitendo viovu uchaguzi mkuu

MANYARA: ‎Zoezi la kupiga kura kuwachagua viongozi bora ni zoezi muhimu kwa mustakabali wa taifa katika kudumisha amani na utulivu…

Soma Zaidi »

Masoud: Ushindi upo mkapige kura

MGOMBEA Urais wa ACT Wazalendo ahitimisha Kampeni Pemba Kwa hamasa na shangwe Mgombea Urais wa ACT Wazalendo Mheshimiwa Othman Masoud…

Soma Zaidi »

Wakazi wa Mwanza wafundwa amani uchaguzi mkuu

MWANZA: ZIKIWA zimebakia siku tisa kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 29 mwaka huu, wakazi wa Mkoa wa Mwanza wameshauriwa…

Soma Zaidi »

Watu 435,119 kupiga kura Arusha Mjini

ARUSHA: Watu 435,119 wanatarajia kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, kwenye vituo vya kupiga kura 1,051 Jimbo la…

Soma Zaidi »

UWT:Wapuuzeni wanaopiga kelele,mkapige kura

KATIBU MKUU wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Susan Kunambi, amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga…

Soma Zaidi »

Kairuki aahidi kutatua migogoro ya ardhi Msigani

MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Kibamba, Angellah Kairuki, ameainisha vipaumbele 10 atakavyotekeleza katika kata ya Msigani ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge…

Soma Zaidi »

Serikali bega kwa bega na wafugaji Ngorongoro

Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imeendelea kuzijali jamii za kifugaji, hasa katika maeneo ya pembezoni kama Wilaya ya  Ngorongoro…

Soma Zaidi »

Wenye ulemavu Moro wapo tayari kupiga kura

MOROGORO: WATU wenye Ulemavu waliojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura wapo tayari kushiriki upigaji kura Oktoba 29, mwaka…

Soma Zaidi »
Back to top button