Siasa

Tanzania, Barbados kuimarisha ushirikiano

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Barbados, Mia…

Soma Zaidi »

Geita waridhia Chato, Busanda kugawanywa

KIKAO cha Kamisheni ya Ushauri ya Mkoa (RCC) wa Geita kimeridhia majimbo mawili ya uchaguzi ya Chato na Busanda yagawanywe…

Soma Zaidi »

SADC kuondoa majeshi yake DRC

JUMUIYA ya Maendeleo ya Nchi Kusini mwa Afrika (SADC) imeamua kuondoa vikosi vya majeshi yake Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo…

Soma Zaidi »

Samia ashiriki mkutano SADC kwa mtandao

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya…

Soma Zaidi »

Viongozi washauri ushirikiano upatikanaji nishati endelevu

Viongozi mbalimbali wanaoshiriki mkutano wa kimataifa kuhusu matumizi ya nishati endelevu kwa watu wote unaofanyika Barbados wameshauri kuimarishwa kwa ushirikiano…

Soma Zaidi »

Rais Samia akutana na Mkurugenzi Mtendaji UNICEF

Rais Dk Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Watoto…

Soma Zaidi »

EAC, SADC msikate tamaa amani DRC

HIVI karibu askari wawili wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania (JWTZ) walipoteza maisha katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia…

Soma Zaidi »

Lissu awaombe radhi wazanzibar

DAR ES SALAAM: KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amos Makalla amemtaka Mwenyekiti wa…

Soma Zaidi »

Rais Samia ashiriki mkutano SADC organ

RAIS Dk Samia Suluhu Hassan ambae pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo…

Soma Zaidi »

Makalla ataja mabadiliko sheria ya uchaguzi

KATIBU wa Halmashauri Kuu Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema kuwa serikali…

Soma Zaidi »
Back to top button