Tanzania

Bil 19.1/- zatumika kujenga vyuo vya VETA 4

SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekabidhi vyuo vinne vya Ufundi Stadi na Huduma kwa Mamlaka ya Elimu…

Soma Zaidi »

Wachimbaji haramu maeneo ya maji waonywa

TANGA: MKUU wa Mkoa waTanga, Dk Batlida Burian amepiga maarufu shughuli za uchimbaji haramu wa madini ya dhahabu katika vyanzo…

Soma Zaidi »

Wasira amtaja Dk Samia kiongozi hodari

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amemtaja mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…

Soma Zaidi »

Wananchi Mbulu wapokea mikopo ya 10% na pikipiki

MANYARA: WANANCHI wa Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara wamenufaika na mikopo isiyo na riba ya asilimia 10 ya halmashauri, pamoja…

Soma Zaidi »

Ujenzi Makumbusho ya Mwalimu Nyerere Dodoma safi!

RAIS wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan , ameridhia kujenga Kituo Kikubwa cha Kumbukumbu ya hayati Mwalimu Julius Nyerere mkoani…

Soma Zaidi »

TANAPA kufadhili vizimba vya samaki kudhibiti uvuvi haramu Ziwa Victoria

SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limekuja na mpango wa kufadhili mradi wa ufugaji wa samaki kwa njia ya…

Soma Zaidi »

Wanakijiji wahimizwa ushirikiano na Polisi kuimarisha usalama

Wananchi wa Kijiji cha Minyaa mkoani Singida wamehimizwa kushikamana na kushirikiana kwa karibu na Jeshi la Polisi ili kuimarisha usalama…

Soma Zaidi »

Wananchi Itimila wasifu mfumo wa kifuta jasho

SIMIYU: Wananchi wa vijiji vya Nyantugutu, Lung’wa na Nding’ho vya Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu wameipongeza Serikali kwa kuunda na…

Soma Zaidi »

TANAPA yafungua milango ya wawekezaji Rubondo

SHIRIKA la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limefungua milango ya uwekezaji kwenye Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo mkoani Geita…

Soma Zaidi »

‘Tanzania imepiga hatua kubwa utoaji huduma’

NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dk Suleiman Hassan Serera, amesema kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa katika…

Soma Zaidi »
Back to top button