Tanzania

RC Mtwara ataka dua zaidi uchaguzi mkuu 2025

MKUU wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Patrick Sawala amewaomba viongozi wa dini mkoani humo kuendelea kuuombea mkoa huo na taifa…

Soma Zaidi »

Wasira atoa neno wapinzani kuzuiliwa kuingia Angola

KUTOKANA na hatua ya kuzuiwa kwa baadhi ya viongozi wa upinzani wa Tanzania kuingia nchini Angola, Makamu Mwenyekiti wa Chama…

Soma Zaidi »

Mkemia aongeza ufanisi bandarini

MAMLAKA ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), imechangia ufanisi wa bandari za Dar es Salaam na Tanga kwa…

Soma Zaidi »

Utafiti changamoto za elimu jumuishi waanza

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kushirikiana na mpango wa shule bora wanatarajia kuendesha utafiti wa pamoja wenye lengo…

Soma Zaidi »

Mbunge Biharamulo atoa sadaka ya futari

Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Magharibi, Mhandisi Ezra Chiwelesa amekabidhi vyakula mbalimbali kwa shekhe wa Wilaya ya Biharamulo ikiwa ni…

Soma Zaidi »

Makonda aomba sapoti ya wabunge uchumi Arusha

MKUU wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewaomba wabunge wa Bunge la Tanzania kuunga mkono agenda mbalimbali za maendeleo yanayotakiwa…

Soma Zaidi »

JWTZ yataka timu za jeshi soka la ufukweni

MKURUGENZI wa Rasilimali watu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ) Brigedia Jenerali Simon Pigapiga amewataka wahitimu wa mafunzo ya…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu azindua msikiti wa Nuuril Hikma

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa leo Machi 14 amezindua msikiti wa Masjid Jaami’u Nuuril Hikma uliopo mtaa wa Yombo, Temeke jijini…

Soma Zaidi »

VETA washauriwa kupanua ushirikiano kuongeza ujuzi

DAR ES SALAAM: Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amekitaka Chuo cha Ufundi na Mafunzo Stadi (VETA)…

Soma Zaidi »

Polisi yawarudisha shuleni wanafunzi watoro Lindi

LINDI: MKAGUZI Msaidizi wa Polisi wa Kata ya Majengo, Halmashauri ya Wilaya ya Lindi, Marwa Benedict, kwa kushirikiana na viongozi…

Soma Zaidi »
Back to top button