Tanzania

Serikali yaita wadau kuchangia nishati safi

SERIKALI imeomba wadau wa maendeleo waendelee kuchangia upatikanaji wa nishati safi ya kupikia nchini. Naibu Katibu Mkuu (Mazingira), Ofisi ya…

Soma Zaidi »

Tanzania yanufaika mradi wa bil 159/- sekta ya bahari

SERIKALI kupitia Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) imenufaika na mradi wa uchumi wa buluu na kituo cha mafunzo…

Soma Zaidi »

Adaiwa kujiteka kisa kukosa huduma

JESHI la Polisi mkoani Tabora linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kutengeneza taarifa ya uongo kuhusu kutekwa kwa mwanamke aitwaye…

Soma Zaidi »

Rais atangaza Baraza la Mawaziri la kimkakati

RAIS Samia Suluhu Hassan ametangaza Baraza la Mawaziri la kimkakati lenye wizara 27 huku kukiwa na mabadiliko kadhaa ikilinganishwa na…

Soma Zaidi »

Bil 146/- kujenga barabara za lami Ilala

DAR ES SALAAM: MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amesema wilaya hiyo inatekeleza ujenzi wa barabara za lami zenye…

Soma Zaidi »

Rais Samia ateua Mawaziri 27, Naibu Mawaziri 29

DODOMA; RAIS wa Tanzania,  Dk Samia Suluhu Hassan leo ametangaza Baraza jipya la Mawaziri lenye mawaziri 27 na Naibu Mawaziri…

Soma Zaidi »

Uteuzi wa Madiwani Vitimaalum Wakamilika 99%

TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kukamilisha uteuzi wa Madiwani Wanawake wa Viti Maalumu 1,385 kati ya 1,387…

Soma Zaidi »

Mwenyekiti CCM Tanga atoa mil 13/- kusaidia vijana

TANGA: Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Rajab Abdulrahaman ametoa kiasi cha Sh milioni 13.4 kuwalipia madeni…

Soma Zaidi »

Watahiniwa kidato cha nne waongezeka 7.6%

BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA) limesema idadi ya watahiniwa wa kidato cha nne imeongezeka kwa asilimia 7.67 mwaka huu…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi kuzindua uuzaji nyumba za ZHC

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwnyi wiki hii anatarajiwa kuzindua uuzaji wa nyumba za…

Soma Zaidi »
Back to top button