Tanzania

Samia apongezwa nguzo nne kuijenga nchi

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Rais Samia Suluhu Hassan anaongozwa na mambo makuu manne katika…

Soma Zaidi »

Waliokufa ajalini Dodoma watambuliwa

WATU sita wamekufa wakati basi la abiria lilipogongana na lori katika eneo la Mzakwe mkoani Dodoma. Katika ajali hiyo, basi…

Soma Zaidi »

Bunge: Wakandarasi miradi mikubwa waisaidie jamii (ya kimkakati)

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeishauri serikali ielekeze wakandarasi wanaotekeleza miradi mikubwa ya maendeleo waihudumie jamii ili wananchi…

Soma Zaidi »

Jaji Mkuu kuzindua Mahakama za Wilaya Mwanga, Same

JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamis Juma anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla za uzinduzi wa Mahakama ya Wilaya…

Soma Zaidi »

HESLB yafungua dirisha la rufaa kwa siku saba

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza leo (Jumapili, Novemba 13, 2022) imetangaza kufunguliwa kwa dirisha la rufaa…

Soma Zaidi »

Wabunge wazuru Daraja jipya la Wami, watoa maelekezo

Kamati ya Bunge ya Kudumu ya miundombinu imetoa wito kwa wananchi kulitunza Daraja jipya la Wami (m 513.5) na barabara…

Soma Zaidi »

TAKUKURU yaanza uchunguzi ujenzi madarasa, mabweni

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania ( TAKUKURU), Mkoa wa Morogoro imeanza kazi ya kufuatilia kwa karibu fedha…

Soma Zaidi »

Rais Samia apongezwa kuunganisha Watanzania

Rais Samia Suluhu Hassan, amepongezwa kwa kuleta suluhu nchini Tanzania kwa kuwaunganisha Watanzania bila kujadili itikadi zao, dini au jinsia…

Soma Zaidi »

Tamasha la kumwombea Samia, Tanzania kutua Arusha

TAMASHA la kuiombea nchi na kumwombea Rais Samia Suluhu Hassan linatarajia kufanyika Novemba 27 mwaka huu jijini Arusha ambapo wasanii…

Soma Zaidi »

Mvua zaacha maumivu Katavi

MVUA iliyo ambatana na upepo mkali imeharibu nyumba 31 katika kijiji cha Tukoma, Kata ya Itenka halmashauri ya Nsimbo mkoani…

Soma Zaidi »
Back to top button