Zanzibar

Dk Mwinyi kuwazadia Simba Sh Mil.267

ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kutoa dola 100,000 za Marekani…

Soma Zaidi »

Mwinyi: Mkopo wa bil 240/- kujenga skuli 23 za ghorofa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi, ameshuhudia utiaji saini wa mkataba wa mkopo…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi asifu uzalendo wa Charles Hilary

MAMIA ya waombolezaji wamemzika aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Charles Hilary…

Soma Zaidi »

Charles Hilary kuagwa Mapinduzi Square Zanzibar

ZANZIBAR; Mkurugenzi wa Uendeshaji na Utumishi wa Ofisi ya Rais, Ikulu, Rajab Ali Ramadhan, akiambatana na Maafisa mbalimbali wa Ofisi…

Soma Zaidi »

Mkutano wa majaji SEACJF fursa ya kuimarisha ushirikiano

ZANZIBAR : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Mkutano Mkuu wa Jumuiya…

Soma Zaidi »

Tanzania yapiga hatua za maendeleo miaka 61

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Tanzania imepiga hatua kubwa za maendeleo…

Soma Zaidi »

Zanzibar yaweka mkazo katika ulinzi na malezi bora

ZANZIBAR: SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imetangaza kuwa haitenganishi watoto na familia zao, lakini inachukua hatua za kuwalea watoto wanaokumbwa na…

Soma Zaidi »

ZIPA: Mkutano uwekezaji utahamasisha fursa uwekezaji

MAMLAKA ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imesema Mkutano wa Uwekezaji wa Vitega Uchumi Zanzibar unalenga kuhamasisha fursa mpya za uwekezaji…

Soma Zaidi »

Rais Mwinyi awakaribisha wawekezaji kutoka Uingereza

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amewakaribisha wawekezaji kutoka Uingereza kuwekeza  Zanzibar katika…

Soma Zaidi »

Polisi kuimarisha usalama uchaguzi mkuu 2025

ZANZIBAR: JESHI la Polisi limeeleza kuwa limejipanga kuhakikisha uchaguzi mkuu unafanyika katika mazingira ya amani na utulivu. Kauli hiyo imetolewa…

Soma Zaidi »
Back to top button