Zanzibar

SMZ yajipanga kuzuia usafirishaji wa binadamu

TAASISI zinazohusika na kuzuia na kupambana na usafirishaji haramu wa binadamu zimetakiwa kuongeza ubunifu na kutumia mbinu za kisasa kubaini…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi akemea vikao hoteli za kitalii

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ameagiza makatibu wakuu wa wizara waache kuidhinisha vikao vifanyike katika hoteli za kitalii. Dk…

Soma Zaidi »

Rais Mwinyi aongoza kikao kazi cha viongozi wa serikali

ZANZIBAR : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameongoza Kikao Kazi kilichowajumuisha Mawaziri,…

Soma Zaidi »

Amani ya nchi yatakiwa kuendelezwa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewataka Waumini wa Dini ya Kiislamu…

Soma Zaidi »

Rais Mwinyi awateua makatibu wakuu

ZANZIBAR : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi  amefanya uteuzi wa makatibu wakuu…

Soma Zaidi »

Dk. Mwinyi akagua ujenzi ‘Sports City’ Fumba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi kuzindua uuzaji nyumba za ZHC

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwnyi wiki hii anatarajiwa kuzindua uuzaji wa nyumba za…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi: Sitovumilia ugomvi wizarani

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema hatovumilia ugomvi wa viongozi katika wizara ukiwemo wa mawaziri na makatibu wakuu. Dk…

Soma Zaidi »

Othman asisitiza wananchi kudumisha amani

ZANZIBAR: MWENYEKITI wa Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT Wazalendo) Taifa, Othman Masoud Othman amewataka wananchi kuwa watulivu…

Soma Zaidi »

Rais Mwinyi atangaza Baraza Jipya la Mawaziri

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ametangaza Baraza jipya la Mawaziri lenye sura…

Soma Zaidi »
Back to top button