CCM yaridhishwa huduma ya afya Kahama

SHINYANGA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Kahama mkoani Shinyanga kimeridhishwa na utolewaji wa huduma katika Hospitali ya Manispaa Kahama huku wakiomba jitihada zifanyike za wagonjwa kwenye maeneo yenye vituo vya afya watibiwe huko ili kuepuka msongamano.
Akizungumza kwa niaba ya chama hicho, Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Wilaya, Julius Lugobi amesema hayo mbele ya baadhi ya wanachama na viongozi wa jumuiya ndani ya chama katika kuadhimisha miaka 49 ya CCM.
Lugobi amesema wameona hali ya usafi inarizisha na wagonjwa wenyewe wamekiri mienendo ya huduma za afya zinazovyoendeshwa lakini waangalie wakati wa utoaji wa dawa mfumo ukigoma wasisite kutoa huduma kwa wagonjwa kwa kuangalia njia mbadala.

“Nimepitia wodi mbalimbali nimeona wagonjwa na hali ya usafi inarizisha pia tumekuja na msaada kidogo wa vitu mbalimbali kwaajili ya kuwafariji wenzetu,”amesema Lugobi.
Diwani wa kata ya Malunga Ahamed Haruna amesema malengo ya kuitembelea hospitali hiyo nikuona namna gani huduma zinavyotolewa na kama kuna mapungufu yote atayabeba ikiwa hivi karibuni Mbunge wetu aliomba Hospitali hii iwe ya rufaa na alipatiwa majibu ya kurizisha kinachosubiriwa ni muda tu.
Diwani wa kata ya Mjini Andrew Godson amesema serikali imejitahidi kutekeleza majukumu yote kwenye sekta ya afya na mabadiliko yameonekana.

Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo Dk Philip Laizer amesema wamefarijika chama kuona wagonjwa na ushauri uliotolewa utaufikisha kwenye uongozi nakuufanyia kazi.




I just came across this amazing way to earn $6,000-$8,000 a week online! No selling, no struggle—just a simple system that anyone can follow. Mia Westbrook did it, and so can you! Don’t miss out on this life-changing opportunity.
.
Follow Here ……………………… https://Www.Cash54.Com
I am making a real GOOD MONEY (300$ to 400$ / hr )online from my laptop. Last month I GOT check of nearly 18,000$, this online work is simple and straightforward, don’t have to go OFFICE, Its home online job. At that point this work opportunity is for you.if you interested.simply give it a shot on the accompanying site….Simply go to the BELOW SITE and start your work…
.
More Details For Us→→→→→→→→→ https://Www.Payathome9.Com