CCM yatangaza sekretarieti mpya
Mjema ambadili Shaka

KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) chini ya Mwenyekiti wake Dk Samia Suluhu Hassan imeteua wajumbe saba akiwemo Sophia Mjema ambae ameteuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM.
Mjema, anachukua nafasi ya Shaka Hamdu Shaka.
Pia, wajumbe wengine ni Daniel Chongolo ambae anaendelea na nafasi yake ya Katibu Mkuu, Anamringi Macha Naibu Katibu Mkuu Bara, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar ni Said Mohamed
Wengine ni Dkt. Frank Haule ambae amekua Katibu wa Uchumi na Fedha, Mbarouk Nassor Mbarouk amekua
Mkuu wa Idara ya Kimataifa na Issa Haji Gavu Mkuu wa Idara ya Organaizeisheni
Aidha, wajumbe wa Kamati Kuuu Bara niMizengo Pinda, Hassan Wakasuvi naHalima Mamuya
Maendeleo hayaletwi na kiongozi wala serikali bali hutengeneza mazingira ya wewe kupata maendeleo ;vijana tupambane fedha haipatikani kilahisi kama tunavyo pambana kusambaza link za utapeli mtandaoni ili tujipatie pesa