Changamkieni fursa ya Gesi

JAMII imehimizwa kuchangamkia frusa za kibiashara zinazopatikana katika nishati safi ya kupikia hatua ili kupunguza athari za uharibifu wa mazingira zinazotokana na matumizi ya mkaa na kuni.

buy cymbalta online https://www.pamc.net/sitecontent/images/banners/jpg/cymbalta.html no prescription pharmacy

Akizungumza katika kongamano la nishati safi ya kupikia lililoandaliwa na taasisi ya wanawake wafanyabishara Tanzania (TABWA), Meneja masoko wa kampuni ya gesi ya Oryx, Peter Ndomba, amesema fursa ni kubwa katika biashara hiyo.

buy suhagra online http://bondchc.com/images/banners/jpg/suhagra.html no prescription pharmacy

Amesema kwa sasa watumiaji wa nishati safi ya kupikia ni asilimia tano na kwamba lengo la serikali ni kufikisha watumiaji zaidi ya asilimia 80 kwa miaka kumi ijayo na hivyo fursa bado ni kubwa kwa wajasiriama kuwekeza katika biashara hiyo.

buy tadalista online https://www.pamc.net/sitecontent/images/banners/jpg/tadalista.html no prescription pharmacy

Aidha amesema ni vema wadau mbalimbali wa nishati safi kuunga mkono jitihada za serikali za kupambana na matumizi ya kuni na mkaa ili kudhibitibi uharibifu wa mazingira unaochangia mabadiliko ya tabia nchi.

“Katika jitihada zetu za kuiunga mkono serikali ya kumtua mama kuni kichwani, tumetoa gawa bure mitungi zaidi ya 7,000 kwa miaka miwili mfululizo na pia leo tumegawa mitungi 200 kwa wajasiriamali walishiriki kongamano hilo wadau wengine waendelee kuisaidia serikali.” Amesema

Naye, Mkurugenzi wa Taasisi ya wafanyabishara wanawake Tanzania, Noreen Mawala, aliitaka jamii kubadilika na kuanza kutumia nishati safi kwa ajili ya matumizi ya kupikia ili kukabilana na athari za ubaribifi wa mazingira.

Habari Zifananazo

6 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button