Chongolo akipata kifungua kinywa kwa Mwenyekiti wa Shina

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Daniel Chongolo akipata kifungua kinywa kwa Mwenyekiti wa Shina Namba 16 Tawi la Maisaka,Grace Dagha katika Kata ya Hirbadaw, wilayani Hanang mkoa wa Manyara alipoanza ziara yake leo.

Habari Zifananazo

Back to top button