DC Mgomi aongoza kikao mapokezi Mwenge wa Uhuru

MKUU wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi Agosti 27 ameongoza kikao katika Halmashauri ya Wilaya ya Ileje tayari kwa mapokezi ya Mwenge wa Uhuru.

Mwenge wa Uhuru wilayani Ileje utapokelewa katika kata ya Mlale Septemba 3, kisha utafanya mkesha katika kata ya Itumbu.

Pichani ni wahudhuriaji mbalimbali wa kikao hicho kilichoongozwa na DC Mgomi.

Habari Zifananazo

Back to top button