Serikali kuharakisha utekelezaji miradi ya maendeleo

MARA: WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imeweka mkakati wa kuharakisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo nchini ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora na miradi inakamilika kwa wakati.

Akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Sokoine, wilayani Serengeti, mkoani Mara, leo Julai 1, 2026, Dk Mwigulu amesema Serikali imeanza utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2025–2030, Bajeti ya Serikali ya mwaka 2026/2027 pamoja na Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.

“Tunaanza utekelezaji wa Ilani leo, Ilani ya 2025–2030. Tunaanza utekelezaji wa Bajeti leo ya mwaka 2026/2027, na tunaanza utekelezaji wa Dira mpya ya 2050 leo,” amesema Dk Mwigulu.

Waziri Mkuu amesema baadhi ya miradi ya maendeleo ilichelewa kuanza au kupungua kasi ya utekelezaji kutokana na uamuzi wa kimkakati wa Serikali wa kuelekeza rasilimali katika kukamilisha miradi mikubwa ya kimkakati ikiwemo Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere, Daraja la JPM na Reli ya Kisasa (SGR), ambayo sasa imeanza kuwanufaisha Watanzania.

Akizungumzia utekelezaji wa miradi ya barabara, Waziri Mkuu amesema Serikali imeweka utaratibu mpya utakaohakikisha fedha za Mfuko wa Barabara zinawafikia watekelezaji moja kwa moja ili kuondoa ucheleweshaji wa miradi.

“Kuanzia leo tarehe moja, fedha zitakazokusanywa zinazotakiwa kwenda kwenye ujenzi wa barabara, zikishakusanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania, hazitapelekwa kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali. Zitakwenda moja kwa moja kwenye Mfuko wa Barabara ili kasi ya ujenzi wa barabara isiende kwa kusuasua.”

Amesema hatua hiyo itawawezesha wakandarasi waliokuwa wamesimama kurejea katika maeneo ya kazi na kuharakisha utekelezaji wa miradi mbalimbali ikiwemo ya Mkoa wa Mara.

“Nimewaelekeza wakandarasi ambao walishatoka site warudi site, kwa sababu kuanzia leo tarehe moja Mfuko wetu wa Barabara… fedha zitakwenda moja kwa moja kwenye mifuko ili wananchi wapate maendeleo yanayochochewa na miundombinu hiyo wezeshi.”

Aidha, Waziri Mkuu aliwahakikishia wananchi kuwa Serikali itaendelea kusimamia utekelezaji wa ahadi zote zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

“Yale ambayo Mheshimiwa Rais aliwaahidi, amenituma niwahakikishie kuwa yatatekelezwa. Na mimi, kama wajibu niliopewa na Katiba, nitasimamia kuhakikisha maelekezo hayo ya Mheshimiwa Rais yanatekelezwa.”

Habari Zifananazo

5 Comments

  1. It’s a shame you don’t have a donate button! I’d
    without a doubt donate to this outstanding blog!
    I suppose for now i’ll settle for book-marking and adding your
    RSS feed to my Google account. I look forward to fresh updates
    and will share this website with my Facebook group.
    Talk soon!

  2. Discover Singapore’ѕ premier furniture store ɑnd comprehensive furniture showroom
    — your ultimate οne-stop shop fоr quality һome furnishings ɑnd optimised furniture
    fߋr HDB interior design Singapore. Ꮤe provide contemporary and valuе-for-money solutions
    packed witһ exciting furniture ⲟffers, sofa promotions аnd Singapore furniture sale οffers tailored to eveгy HDB hоme.
    Understanding the imρortance of furniture іn interior design whіle buying furniture for HDB interior design empowers
    you to select tһe ideal living room sofas, quality mattresses іn alⅼ sizes, storage bed frameѕ, practical study desks
    аnd beautiful coffee tables Ƅy folloԝing smart tips too buy quality
    bed fгame, quality sofa bed аnd quality coffee table.
    Whether you arе updating yoսr Singapore living room furniture,
    bedroom furniture Singapore ⲟr study space with the latеst furniture promotions, оur
    thoughtfully curated collections combine contemporary design, superior comfort аnd lasting durability tߋ create beautiful, functional
    living spaces tһat perfectly suit modern lifestyles
    ɑcross Singapore.

    Discover Singapore’ѕ leading furniture store and spacious furniture showroom — ʏoսr go-to one-stop shop for quality һome furnishings
    and optimised furniture fоr HDB interior design Singapore.
    Ꮃe provide chic and budget-friendly solutions packed ԝith exciting furniture
    օffers, mattress promotions ɑnd Singapore furniture sale
    οffers tailored t᧐ every HDB home. Understanding tһe importаnce of
    furniture in interior design while buying furniture for HDB interior design empowers уou to select
    the ideal living roоm sofas, quality mattresses іn all sizes, storage bed frаmеs, practical study desks ɑnd beautiful coffee tables
    by folⅼowing smart tips to buy quality bed frɑme, quality sofa bed and quality
    coffee table. Ꮃhether ʏоu are updating yoᥙr living гoom
    furniture Singapore, bedroom furniture Singapore ߋr study space witһ tһе lɑtest furniture promotions,
    օur thoughtfully curated collections combine
    contemporary design, superior comfort аnd lasting durability tߋ create beautiful,
    functional living spaces tһat perfectly suit modern lifestyles аcross Singapore.

    Αs уour go-to Singapore furniture store аnd large
    furniture showroom, we serve as tһe ideal one-ѕtop shop for quality mattresses іn Singapore.
    We Ьring contemporary ɑnd vaⅼue-packed solutions tһrough
    exciing furniture deals, mattress ߋffers аnd Singapore
    furniture sale offers tailored tⲟ every HDB home.
    Mastering the impоrtance of furniture іn interior design ѡhile
    buying furniture f᧐r HDB interior design staгts with the right mattresses —
    queen size pocket spring mattresses ᴡith pillow top, king size memory foam mattresses, super
    single cooling mattresses ɑnd premium hybrid mattresses designed foг Singapore humidity аnd space
    constraints. Ꮤhether transforming yoᥙr bedroom furniture Singapore ѡith tһe
    latest furniture sale offerѕ and affordable mattresxs Singapore, ⲟur thoughtfully curated collections combine contemporary design, superior comfkrt аnd lasting durability tⲟ сreate beautiful, functional
    living spaces perfect fοr modern Singapore lifestyles.

    Αt Singapore’ѕ leading furniture store ɑnd ⅼarge furniture
    showroom, discover үouг ultimate one-stߋⲣ shop for quality sofas Singapore.

    We deliver chic ɑnd affordable solutions filled ԝith exciting furniture promotions, sofa deals аnd
    Singapore furniture sale offeгs fߋr everу
    Singapore residence. The importance ⲟf furniture in interior design іs evident whеn buying furniture fоr HDB intrior design —
    select tһe ideal sofas including L-shaped sectional sofas
    ԝith storage, premium leather corner sofas, plush fabric recliners аnd versatile modular
    sofas tһat enhance living гoom comfort and space efficiency.

    Ꮃhether you’re updating уour HDB living гoom furniture using the lateѕt furniture promotions, oսr carefully chosen collections blend contemporary design, superior comfort аnd exceptional durability іnto beautiful, functional living spaces tһat match
    modern Singapore homes.

    Feel free tⲟ visit my blog – sea horse single mattress

  3. We stumbled over here coming from a different web page and thought I may as well check things out.
    I like what I see so now i am following you. Look forward to finding out
    about your web page for a second time.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button