Dk Biteko kufungua mkutano wa madini leo

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko anatarajia kufungua mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini mwaka 2023, leo jijini Dar es Salaam.

Mkutano huo unahudhuriwa na viongozi, washiriki na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi na unafanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC).

Mkutano huo, unatarajiwa kutangaza fursa mbalimbali ya madini mkakati na madini muhimu yaliyopo hapa nchini.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
2 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Marry
Marry
1 month ago

●Im making over $13k a month working part time. I kept hearing other people tell me how much money they can make online so I decided to look into it. Well, it was all true and has totally changed my life.(s)last month her pay check was $12712 just working on the laptop for a few hours. This is what I do, ↓↓↓↓VISIT THIS WEBSITE↓↓↓↓
HERE☛…..☛ http://Www.Smartcareer1.com

Julia
Julia
1 month ago

Making every month extra dollars by doing an easy job Online. Last month I have earned and received $18,539 from this home based job just by giving this only mine 2 hrs a day. Easy to do work even a child can get this and start making money online.
.
.
Detail Here—————————————————————->>>  http://Www.BizWork1.Com

Back to top button
2
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x