Dk Erick: Watengeneza makalio, shape tukutane Dec

DAR ES SALAAM: MKUU wa Idara ya Upasuaji katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Mlonganzila Dk Erick Muhumba amesema huduma ya upasuaji wa kurekebisha miili ya binadamu imepangwa kuanza Desemba mwaka huu.

Akizungumza katika mahojiano maalum na Dailynews Digital jijini Dar-es-salaam, Dk Muhumba amesema wamechelewa kuanza kwa huduma ya upasuaji ya kurekebisha miili ya binadamu ni kutokana na mtaalamu kutoka Afrika Kusini kuchelewa kufika nchini.

“Ni kweli tumechelewa kuanza upasuaji wa kurekebisha miili ya binadamu kwa sababu ya ukosefu wa vibali vya kumruhusu mtaalamu kutoka nchini Afrika ya Kusini kuja kufanya upasuaji huo”amesema Dk Muhumba

Amesema mtaalamu ambaye anakuja kufanya upasuaji wa kurekebisha miili anaitwa Dk Brian Monaisa ambaye ni Daktari bingwa wa upasuaji ambaye pia ni Mkuu wa kitengo cha upasuaji katika Hospitali ya Chris Han Baragwanath iliyoko nchini Afrika ya Kusini.

Aidha Dk Erick amesema kutokana na ukosefu wa utaalamu huo, Idara ya Upasuaji wa Hospitali ya Muhimbili – Mlongazila imejipanga kutoa mafunzo kwa wataalamu wa ndani wa upasuaji ili baada ya miaka miwili basi upasuaji huo wa kurekebisha miili na upasuaji mwingine wa kupunguza uzito ufanywe na wataalamu bingwa wa ndani wa upasuaji.

“Tumejipanga kutoa mafunzo ya miaka miwili kwa wataalamu wa upasuaji wa kurekebisha miili ya binadamu na wale wengine wa kupunguza uzito basi watapatiwa mafunzo ya miezi sita,”.
Tangu kuanza kwa huduma ya upasuaji wa kupunguza uzito Hospitali ya Taifa ya Muhimbili – Mlonganzila imeweza kufanya upasuaji kwa watanzania wasiopungua 150 ambao wameweza kufaidika na huduma hiyo.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
7 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
NAMONGO FC
NAMONGO FC
22 days ago

IKIFIKA WALIOPO HAWATOSHI… WATANZANIA 3 WANATAFUTWA… 1. MKULIMA MKUBWA (TAASISI ZA SERIKALI) 2. MKULIMA WA KATI (MWEKEZAJI MKUBWA SANA) 3. MKULIMA MDOGO (ANAYELIMA NYUMBANI)..

336385342_23852687669090184_4327056666681808736_n-1699524871.7938-300x300.jpeg
AlmaRankin
AlmaRankin
Reply to  NAMONGO FC
22 days ago

I’ve gained only within four weeks by comfortably working part-time from home. Immediately when I had lost my last business, mtg I was very troubled and thankfully
following website________ http://Www.Careers12.com

Last edited 22 days ago by AlmaRankin
NAMONGO FC
NAMONGO FC
22 days ago

IKIFIKA WALIOPO HAWATOSHI… WATANZANIA 3 WANATAFUTWA… 1. MKULIMA MKUBWA (TAASISI ZA SERIKALI) 2. MKULIMA WA KATI (MWEKEZAJI MKUBWA SANA) 3. MKULIMA MDOGO (ANAYELIMA NYUMBANI)..

400691249_864990868631687_149643332150728266_n-1699514610.2614-1699523863.3682-212x300.jpg
NAMONGO FC
NAMONGO FC
22 days ago

IKIFIKA WALIOPO HAWATOSHI… WATANZANIA 3 WANATAFUTWA… 1. MKULIMA MKUBWA (TAASISI ZA SERIKALI) 2. MKULIMA WA KATI (MWEKEZAJI MKUBWA SANA) 3. MKULIMA MDOGO (ANAYELIMA NYUMBANI)….

400652614_122123967464061853_6811123058608430011_n-1699514588.5978-200x300-1699523844.9688.jpg
NAMONGO FC
NAMONGO FC
22 days ago

IKIFIKA WALIOPO HAWATOSHI… WATANZANIA 3 WANATAFUTWA… 1. MKULIMA MKUBWA (TAASISI ZA SERIKALI) 2. MKULIMA WA KATI (MWEKEZAJI MKUBWA SANA) 3. MKULIMA MDOGO (ANAYELIMA NYUMBANI)

396913935_270519422649565_3279129179102033513_n-1699514567.7649-232x300-1699523827.9501.jpg
NAMONGO FC
NAMONGO FC
22 days ago

USALAMA KAZI MHE TUTAFANYA KWA AJILI YA “MLIMA KILIMAJARO” – LAZIMA TUFANYE KITU KWA AJILI YA TANZANIA USALAMA WETU TUKITEMBELE

OSK-1699526502.5327-300x200.jpeg
Angila
Angila
21 days ago

I get paid over $87 per hour working from home with (Ql)2 kids at home. I never thought I’d be able to do it but my best friend earns over 10k a month doing this and she convinced me to try. The potential with this is endless. 
.
.
.
.
Here’s what I’ve been doing…> > > http://remarkableincome09.blogspot.com

Back to top button
7
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x