Makamu wa Rais Dk Philip Mpango akimfariji Makamu wa Rais na Rais Mteule wa Namibia, Netumbo Nandi – Ndaitwah kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Kwanza na Baba wa Taifa la Namibia hayati Dk Sam Nujoma wakati wa Maombolezo ya Kitaifa yaliyofanyika katika Uwanja wa Michezo wa Uhuru jijini Windhoek nchini Namibia leo Februari 28. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)