Dk Nchimbi akutana na Waziri Liu China
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzii, (CCM) Dk Emmanuel Nchimbi amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa idara ya Mambo ya nje ya Chama cha Kikomunisti cha Uchina (CPC) comrade Liu Jianchao leo Agosti 26, 2024, China.
Dk Emmanuel Nchimbi akisalimiana na Waziri wa idara ya Mambo ya nje ya Chama cha Kikomunisti cha Uchina (CPC) comrade Liu Jianchao