Dk.Talib ateuliwa Mwanasheria Mkuu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi  amemteua tena Dk Mwinyi  Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Zena Abdi  imesema kuwa uteuzi huo umeanza leo 4 Novemba,2025.Dk. Mwinyi Talib Haji  amepangwa  kuapishwa  alhamisi tarehe 6 Novemba, 2025 Ikulu Zanzibar. SOMA: Dk Mwinyi afanya uteuzi wa viongozi

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button