Dk Yonazi ashiriki kikao cha Tume ya Pamoja (JPC) Tanzania, Msumbiji

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dk. Jim Yonazi ameshiriki kikao cha 15 cha Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Mashirikiano (JPC) cha Makatibu Wakuu wa Tanzania na Msumbiji kilichofanyika leo Agosti 24, 2022 jijini Dar es Salaam.

Habari Zifananazo

Back to top button