Kamati ya siasa Zanzibar yakutana

ZANZIBAR : Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, akiwasili na kupokewa na Viongozi wa CCM wa Mkoa wa Magharibi kichama, tayari kwa mazungumzo na Wajumbe wa Kamati za Siasa za Halmashauri kuu ya CCM ngazi ya Tawi, Wadi , Majimbo,Wilaya na Mkoa.

SOMA : CCM yaridhishwa utekelezaji miradi ya bil 600/-

Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa huo, Ndg. Mohamed Rajab, amewaongoza wana-CCM kumlaki Dk. Mwinyi alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano, Viwanja vya Maonesho Nyamanzi, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja.

Advertisement