DRC kupatiwa chanjo ya Mpox
DRC CONGO : KITUO cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa CDC Kanda ya Afrika kimeanza kupeleka chanjo ya kwanza ya Mpox nchini DRC CONGO.
Madaktari nchini humo wameshaanza kujiandaa kutoa chanjo hiyo ili kuweza kukabiliana na mlipuko huo nchini humo. Mpaka sasa wagonjwa 18,000 wamethibitika kuwa na virusi vya Mpox nchini DRC CONGO huku wengine zaidi ya 100 wakipoteza maisha .
SOMA: Tanzania kudhibiti Mpox