BAADA ya kusawazisha dakika za jioni katika mchezo uliopita wa Ligi Kuu England(EPL) dhidi Arsenal, bingwa mtetezi Manchester City leo inakiwasha tena ugenini dhidi Newcastle United.
Newcastle inaonekana kujiandaa kuikabili Man City na imeanndika hivi katika katika ukurasa wake wa Instagram: “Through the lens: Manchester City (H).”
SOMA: Patashika za EPL, Ligue 1 kuanza leo
Manchester City inaongoza EPL ikiwa na pointi 13 baada ya michezo 5 wakati Newscastle United ipo nafasi ya 6 ikiwa na pointi 10.
Michezo mingine ya EPL na ligi nne bora barani Ulaya leo ni kama ifuatavyo:
PREMIER LEAGUE
Arsenal vs Leicester City
Brentford vs West Ham United
Chelsea vs Brighton
Everton vs Crystal Palace
Nottingham Forest vs Fulham
Wolves vs Liverpool
LALIGA
Getafe vs Deportivo Alaves
Rayo Vallecano vs Leganes
Real Sociedad vs Valencia
Osasuna vs Barcelona
BUNDESLIGA
Borussia M’gladbach vs Union Berlin
Freiburg vs St. Paul
Mainz 05 vs FC Heidenheim
RB Leipzig vs Augsburg
Wolfsburg vs VfB Stuttgart
Bayern Munich vs Bayer Leverkusen
SERIE A
Udinese vs Inter
Genea vs Juventus
Bologna vs Atalanta
LIGUE 1
Lens vs Nice
Le Havre vs Lille
Monaco vs Montpellier