Filamu ya Chama mwaka 2024

USAJILI wa kiungo wa Yanga Clatous Chama kwenda kutoka Simba ulitikisa nchi kwa mwaka 2024 huku mashabiki wa pande zote mbili wakiwa roho juu. Kiungo huyo wa Kimataifa wa Zambia, aliachana na Simba baada ya mkataba wake kufikia tamati.
Licha ya wachezaji wengi kuhusishwa na baadhi ya timu lakini, sakata la kiungo huyo kwenda Yanga liliingia kwenye sura mpya mash abiki wa klabu hizo mbili kongwe waliingia katika sintofahamua juu ya kiun go huyo.
Chama anayezungumzi wa hapa yule aliyejenga jeshi kubwa ndani ya Simba, amekuwa kipenzi cha mashabiki na wadau wakubwa wa klabu hiyo tangu alipojiunga mwaka 2017 akitokea Zesco United, Zambia.
Nyota ambaye amefanya makub wa ndani ya Wekundu hao wa Msimbazi katika michezo ya ndani na kimataifa am bayo Simba imeku wa ikicheza, haku na mtu anayebisha juu ya msaada wa kiungo huyo na klabu hiyo.
MKATABA WA CHAMA NA SIMBA:
Chama ameji unga na Yanga akiwa mchezaji huru baada ya mkataba wake wa miaka miwili na Simba kufikia tamati, Juni 30, 2024 klabu hiyo ikaamua kutomu ongezea mkataba.
Tetesi ambazo zilifanya mashabiki wa timu hizo mbili kutoelewa kuwa kiungo huyo kuhusishwa kwa muda mrefu kusajili na Yanga lakini ziligonga mwamba hatimaye 2024 kufanikiwa kuinasa saini yake.
SAKATA LA CHAMA IL IPOANZIA:
Meneja wa Idara ya Habari wa Simba. Ahmed Ally alibai nisha kuwa mchezaji huyo bado hajasaini kusalia ndani ya klabu hiyo huku mazu ngumzo ya awali ya kusaini mkataba mpya yakigonga mwamba.
Utata ulianza kuibuka baada ya mabosi wa Simba kugawanyika baadhi ya vi ongozi wa timu hiyo waliona inatosha na hawapaswi kuen delea naye kwa kuwa wana taka kujenga timu mpya.
Misimu mitatu mfululizo, viongozi na mashabiki wengi walikuwa wanamtazama Chama kama mtu ambaye amepoteza mapenzi na Simba na kuwatumikia kwa sababu ya fedha. Licha kuwepo kwa mvutano huo wa ilidaiwa mwekezaji wa klabu hiyo, Moham med Dewji alitoa nafasi wa wajumbe wake anayemtaka kiungo huyo yupo tayari kumuongeza mkataba.
MAAMUZI MAGUMU:
Baada ya kusikia tetesi za kwamba Mo Dewji ametoa nafasi ya kiungo huyo kujadil iwa na kutaka kupindua meza kuliwepo kwa mga wanyiko wa viongozi juu ya nyota huyo maamuzi magu mu yalipita. Uamuzi wa kumuacha Chama ulikuwa mgumu kwa viongozi kwa vile walikuwa wanaogopa presha na lawa ma kutoka kwa mashabiki na wanachama wa timu hiyo ku tokana na mahaba makubwa ambayo walikuwa nayo kwa nyota huyo kutoka Zambia.



