Halmashauri zatakiwa kutenga maeneo ya uwekezaji

WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula, amezitaka halmashauri nchini kutenga maeneo ya uwekezaji, ili kurahisisha wawekezaji wanaokuja nchini kuwekeza kwenye sekta mbalimbali bila usumbufu.

buy keflex online http://pharmax.net/image/custom/jpg/keflex.html no prescription pharmacy

Dk Mabula ametoa kauli hiyo Februari 22, 2023 wakati wa kikao kazi cha kujadili na kuweka mikakati ya kukwamua changamoto za sekta ya ardhi katika mkoa wa Morogoro kilichofanyika mkoani humo.

buy spiriva online http://pharmax.net/image/custom/jpg/spiriva.html no prescription pharmacy

Waziri Mabula amesema, Rais Samia Suluhu Hassan ameifungua nchi kwa kukaribisha wawekezaji, ambapo alieleza kuwa tayari wawekezaji wameanza kuja kwa wingi na kushindana kwenye sekta mbalimbali kama vile kilimo, viwanda , madini na ujenzi wa nyumba.

buy stromectol online http://pharmax.net/image/custom/jpg/stromectol.html no prescription pharmacy

Kwa mujibu wa Dk Mabula, Rais Samia alielekeza kila halmashauri nchini kutenga maeneo ya uwekezaji, hivyo ni jukumu la kila halmashauri kuhakikisha maeneo ya uwekezaji yanaandaliwa na kutengwa sambamba na kuwekewa mkakati utakaofanya maeneo hayo kuwa tayari kwa uwekezaji.

Habari Zifananazo

Back to top button