Heri ya kuzaliwa

BAADHI ya wafanyakazi wa Kitengo cha Habari za Kidigitali cha Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), wakifurahia Siku ya Kuzaliwa ya Kaimu Meneja wa Kitengo hicho, Sylivester Domasa (kushoto mwenye nyeupe) leo Ijumaa Machi 17, 2023 kwenye ofisi za TSN, Samora Dar es Salaam.

 

Habari Zifananazo

Back to top button