RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua James Kaji kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).
Taarifa ya uteuzi huo imetolea leo Desemba 18, 2024 na Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu Moses Kisiluka.
Aidha, kabla ya uteuzi huo, James Kaji alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro.