Jengo la bil 2/- kusaidia watoto njiti Kwimba

MWANZA: TAASISI ya Doris Mollel imefanikisha ujenzi wa jengo jipya la kisasa maalumu kwa ajili ya kutoa huduma bora kwa watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (njiti) lililopo katika Hospitali ya Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza.

Jengo hilo lenye thamani ya Sh bilioni 2 linatarajiwa kuzinduliwa rasmi Februari 28,2026 na Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dk Tedros Adhanom Ghebreyesus.

Jengo hilo limejengwa kwa ushirikiano na taasisi ya msanii maarufu wa Marekani Alicia Keys inayoitwa ‘KEEP A CHILD ALIVE’ na ni jengo maalumu lenye chumba maalumu kwa ajili ya baba kumuona mama na mtoto wake akiwa hospitalini hapo na lina uwezo wa kuhudumia watoto 42 kwa wakati mmoja.

Doris Mollel amesema baada ya kukamilisha ujenzi Kwimba, taasisi hiyo itakwenda pia kujenga majengo kama hayo kwenye mikoa mingine ikiwemo Dar es salaam, wilaya tatu za Mwanza, wilaya mbili za Shinyanga na Geita, Tabora pamoja na Zanzibar ambapo lengo ni kujenga hospitali nyingine 10 hadi kufikia mwaka 2028.

Habari Zifananazo

3 Comments

  1. I get paid over $130 1 to 3 hours working from home with 2 kids at home. I never thought I’d be able to do it but my best friend earns over $27k a month doing this and she convinced me to try. The potential with this is endless.
    Heress——-> http://www.giftpay7.vip

  2. I get paid over (90$ to 200$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $18000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
    .
    HERE——————————————⊃⫸ https://Www.Cash54.Com

  3. I get paid over 220 Dollars per hour working from home with 2 kids at home. i never thought i’d be able to do it but my best friend earns over 15k a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life. This is what I do, check it out by Visiting Following Website…

    .
    M­­­­­­o­­­­­­r­­­­­­e­ D­­­­­­e­­­­­­t­­­­­­a­­­­­­i­­­­­­l­­­­­­s For Us→→→→→→→→→ https://Www.Payathome9.Com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button