Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Mamlaka za Serikali za Mitaa(LAAC) imepokea na kujadili taarifa kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI kuhusu Mifumo iliyoanzishwa na Kusimamiwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI iliyowasilishwa na Mkurugezi wa TEHEMA ofisi ya Rais TAMISEMI, Erick Kitali Bungeni Jijini Dodoma.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)