Kayoko kusimamia sheria 17 dabi Kariakoo

BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtangaza Ramadhan Kayoko kuwa refa atakayechezesha mchezo kati ya Simba na Yanga kesho.

Kayoko atasaidiwa na Mohamed Mkono kutoka Tanga na Kassim kutoka Dar es Salaam, huku mwamuzi wa akiba, Tatu Malogo.

SOMA: Ni vita ‘dabi’ nusu fainali Ngao ya Jamii leo

Habari Zifananazo

Back to top button