Kesi vurugu za uchaguzi Mwanza yaahirishwa

MWANZA; KESI inayowakabili watuhumiwa 11 kati ya 172 wanaodaiwa kuhusika na matukio ya uhalifu yaliyotokea baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imeahirishwa hadi Novemba 26 mwaka huu baada ya upande wa mashitaka kueleza kuwa upelelezi bado haujakamilika.
Watuhumiwa hao upande wa Wilaya ya Nyamagana, jijini Mwanza wamekuwa wakipandishwa mahakamani kwa awamu, wakikabiliwa na mashitaka mbalimbali ikiwemo uharibifu wa mali ya umma, unyang’anyi wa kutumia silaha na kufanya maandamano bila kibali.
Shauri hilo limetajwa leo Novemba 17, 2025 mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Ramla Shihagilo, ambapo Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Mahembega Elias, alidai mahakamani hapo kuwa upelelezi bado haujakamilika na kuomba kuahirishwa shauri hilo.Kesi imeahirishwa hadi Novemba 26.
Watuhumiwa wanawakilishwa na mawakili watano kutoka Chama cha Wanasheria (TLS) Kanda ya Mwanza, wakiongozwa na Wakili, Erick Mutta akisaidiwa na Lugano Kitangalala, Emmanuel John, Salehe Nassoro na Debora Marwa.




Africa’s Mental Health Crisis: World’s Highest Suicide Rates and Lowest Spending on Mental Health Services
Someone dies by suicide approximately every 40 seconds, resulting in roughly 700,000 deaths per year globally. Globally, someone dies by suicide every 40 seconds, totalling about 700,000 deaths annually. In Africa, the rate is 11 per 100,000 people, compared to the global average of nine.
I get paid over (90$ to 500$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $22000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
.
HERE——————————————⊃⫸ http://Www.Cash43.Com
Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
.
More Details For Us→→→→→→→→→→ http://Www.Payathome9.Com
Africa’s Mental Health Crisis: World’s Highest Suicide Rates and Lowest Spending on Mental Health Services
Someone dies by suicide approximately every 40 seconds, resulting in roughly 700,000 deaths per year globally. Globally, someone dies by suicide every 40 seconds, totalling about 700,000 deaths annually. In Africa, the rate is 11 per 100,000 people, compared to the global average of nine..
Nowadays earning money online is very easy . Eanrs every month online more than $17k by doing very easy home based job in part time u can also do this simple online Job by visiting websiteMore Details For Us→→ http://www.job40.media
Ujenzi wa OFISI ZA UBALOZI WA INDIA MKOA DODOMA – MAKAO MAKUU YA NCHI UMEFIKIA ASILIMIA 90
Ujenzi wa OFISI ZA UBALOZI WA INDIA MKOA DODOMA – MAKAO MAKUU YA NCHI UMEFIKIA ASILIMIA 90.
Ujenzi wa OFISI ZA UBALOZI WA INDIA MKOA DODOMA -. MAKAO MAKUU YA NCHI UMEFIKIA ASILIMIA 90
Ujenzi wa OFISI ZA UBALOZI WA INDIA MKOA DODOMA – MAKAO MAKUU YA NCHI UMEFIKIA ASILIMIA 90..
I have earned and received $19,683 by working online from home. In previous month i have this income just by doing work for 2 hours maximum a day using my laptop. This job is just awesome and regular earning from this just great. Now everybody can now get this job and start making real money online just by follow instructions on this website………
Open This…. http://www.join.work43.com