Kinana ataka Waislamu kuzingatia mafundisho ya Mtume

MAKAMU  Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amewataka Waislamu kuzingatia mafundisho ya Mtume Muhammad (SAW) hususan kuhusu uchamungu na tabia njema.

buy diflucan online https://silvermancare.com/wp-content/uploads/2023/10/jpg/diflucan.html no prescription pharmacy
buy zithromax online https://healingcenterseattle.org/images/docs/doc/zithromax.html no prescription pharmacy

Kinana ameyasema hayo leo Machi 25, 2023 wakati wa hafla ya mashindano ya Kuraani tukufu yaliyoandaliwa na Taasisi ya Faraja Foundation ya jijini Dar es Salaam.

“Tunaagizwa na Kuraani, pia tunaagizwa na Mtume wetu (Muhammad – S A.

buy augmentin online https://silvermancare.com/wp-content/uploads/2023/10/jpg/augmentin.html no prescription pharmacy

W) kuwa kila Muislamu anapaswa kuzingatia mambo mawili lakwanza ‘takwa’ (uchamungu) na lapili ‘akhlaki’ tabia njema).

buy fluoxetine online https://healingcenterseattle.org/images/docs/doc/fluoxetine.html no prescription pharmacy

“Kwahiyo ukizingatia ‘takwa’ ukazingatia na maadili mema hakuna namna utapotoka, itakuwa hakuna haja hata ya sisi kuwa na wasiwasi kwamba maadili mabaya yanaweza yakatupitia,” amesema Kinana.

buy prograf online https://healingcenterseattle.org/images/docs/doc/prograf.html no prescription pharmacy

Aidha, aliwahamasisha Waislamu nchini kuwapeleka watoto wao madrasa wakajifunze imani na maadili ya dini yao na kumjua Mwenyezi Mungu.

Habari Zifananazo

Back to top button