Kinana, Dercon, Concar wateta

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amekutana na kufanya Mazungumzo na, Prof. Stefan Dercon, aliyekuwa Mchumi Mkuu wa DFID (UK Department for International Development) na Mshauri wa Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza alieambatana na Balozi Uingereza nchini Tanzania David Concar, ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari 19, 2023.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button