Kinana: Mema yote ya CCM

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana, amewaomba wana CCM nchi nzima kutambua kuwa kila mema yanayoonekana katika maeneo yao ni maelekezo, maagizo na ahadi zinazotokana na Chama hicho.
Akizungumza leo Julai 24, 2023 wakati wa kikao cha ndani cha Chama Mkoa wa Manyara, Kinana ametumia nafasi hiyo kusisitiza sifa ni lazima ziende kwa CCM kwa sababu ndio inayokwenda mbele ya wananchi kuomba kura.
“Hivyo sifa zote ambazo zinatokana na utekelezaji wa mema hayo lazima zihusishwe na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan pamoja na Chama Cha Mapinduzi ambacho yeye ndiye Mwenyekiti wake.”Amesema Kinana na kuongeza
“Tukijenga shule inatokana na Chama Cha Mapinduzi kwa kuwa na sera nzuri pamoja na ahadi zinazotekelezeka, kwa hiyo mafanikio lazima yahusishwe na Ilani na sera za CCM,”amesema.
Aidha, amewapongeza wana CCM kwa kukiimarisha Chama huku akikumbusha kila moja kufahamu kuwa Chama kinatokana na wanachama na viongozi wake hawajiteui bali huchachaguliwa na hutokana na wanachama.
honest online career from home Earns upto $ 550 to $ 750 doller by way of work is simple on web. i have made $ 28K only month via chipping away on internet. Its right way and easy home work maybe a piece adolescent can complete this movement on web and benefits. all of you can arrive this function now and start getting on internet throughbasically open this association and some time later ordeal bearings to start
.
.
HERE☛ ☛ ☛ ☛ https://Fastinccome.blogspot.com/
$26,000 or even more is very simple and easy to earns while staying and working online. start receiving paychecks every month simply by doing work online. i recently received $27493 in my bank of my last month’s working. i just gave this job 2 hours maximum from my day. simple and easy home based job.
.
.
.
HERE==>=> https://onlinemarketing8uk.blogspot.com/
Working part-time and making an extra $15,000 or more online is a simple and quick method to gain money. I earned $17,000 in the previous month by working in my spare time, and I am really happy now as a result of this job.
.
.
Detail Here—————————————————————>>> http://Www.OnlineCash1.Com