Kinana: Rais Samia amefanya makubwa kwenye  kilimo

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana, amesema kutokana na umuhimu wa sekta ya kilimo na mchango wake katika maendeleo ya nchi, Rais Dk Samia Suluhu Hassan amefanya mambo makubwa kuhakikisha sekta hiyo inaendelea kuboreshwa.

Akizungumza na wanachama wa CCM Mkoa wa Tabora, Kinana amezungumzia sekta ya kilimo hususan hatua zinazochukuliwa na serikali kutatua changamoto za wakulima.

“Waziri wa Kilimo Hussein Bashe ameeeleza yanayoendelea kwenye kilimo, amezungumzia mambo mbalimbali ya kilimo, kama hujamsikia na ukasikiliza kero peke yake unapata hisia kuna kero hazishughulikiwi, lakini ukisiliza kwa makini unaona kuna kazi inafanyika, kuna ufumbuzi unaotolewa kwa matatizo hayo.

“Yako mambo hayawezi kufanikiwa mara moja, ninyi ni mashahidi Wizara ya Kilimo ni muhimu kwa Watanzania, kwani asilimia kubwa wanaishi vijijini, maisha yao yanategemea kilimo. Rais Samia Suluhu Hassan wakati anachukua nchi hii Wizara ya Kilimo ilikuwa ikipata Sh.bilioni 260, lakini na leo inapata Sh. trilioni moja,” amesema.

Amefafanua kuwa, miradi mingi ama ilisimama au ilipuuzwa, lakini chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa mara ya kwanza maofisa ugani wameajiriwa, vitendea kazi vipo vya kutosha, pembejeo zinatolewa kwa ruzuku kutoka serikalini kwa mazao yote.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
5 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
xiboha
1 month ago

My last month paycheck was for 11000 dollars… All i did was simple online work from comfort at home for 3-4 hours/day that I got from this agency I discovered over the internet and they paid me for it 95 bucks every hour…..> 
.
.
Detail Here——————————>>> https://www.pay.salary49.com

Colleen J. Slocum
Colleen J. Slocum
Reply to  xiboha
1 month ago

Google pays for a good deal by making $11,500 to $9,000 a week from home. It’s often a great year, but I’m idle in a terrible economy. I thank Google every day for blessing these addresses and now it’s my duty to pay miles and share them with everyone is my starting point.
.
.
Detail Here—————————————>>> https://fastinccome.blogspot.com/

Marlenna
Marlenna
1 month ago

Welcome to the best sex dating site — https://ok.me/wqPA1

EvelynChris
EvelynChris
1 month ago

Everybody can earn 500 dollars daily. Yes! you can earn more than you think by working online from home. I have been doing this job for like a few weeks and my last week payment was exactly 30,000 dollars.
.
.
Open Here———————————————————>>>  http://Www.OnlineCash1.Com

Money
Money
1 month ago

Taulo za kike

Tangazo.PNG
Back to top button
5
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x