Kinana: Samia amefanya makubwa

M AKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amesema Rais Dk.Samia Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa kuleta maendeleo kwa Watanzania katika kipindi kifupi cha uongozi.

Hivyo kinachopaswa kufanywa na Kila I’llmmoja ni kumuunga mkono, kumpa moyo na kuthamini yale anayofanya.

“Rais Samia ameongoza kwa miaka miwili, kama alivyosema Waziri wa Maliasili na Utali Mohamed Mchengerwa, haya ambayo mbunge anayasema yanafanyika katika kila jimbo nchini, kuna shughuli nyingi zinaendelea na Rais wetu si mtu wa kujitukuza, sio mtu wa kujisifia, yeye ni mtu wa vitendo

“Kila mahali katika nchi hii kuna kazi zinafanyika, miundombinu ya barabara, maji, hospitali, ujenzi wa shule na kwa mara ya kwanza wazazi hawajaambiwa wachange kujenga shule na kununua madawati, katika historia ya nchi kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka miwili zaidi ya madarasa 20,000 yamejengwa,” alisema.uyy

 

Habari Zifananazo

1 Comment
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button