Kituo cha EACLC kuongeza thamani ya biashara

DAR ES SALAAM : Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania -TISEZA, Gilead Teri amesema kukamilika kwa kituo cha biashara na usafirishaji cha Afrika mashariki -EACLC, itasaidia kuongeza thamani yabiashara ya mauzo kutoka kwa zaidi ya bilioni 300 kwa mwaka.

Ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelekea ufunguzi wa kituo hicho Agosti 2 mwaka huu, huku mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Ametumia nafasi hiyo pia kuzielekeza halmashauri nyingine kutenga maeneo kwa ajili ya utekelezaji wa miradi kama hiyo ili kuleta uchechemuzi wa uchumi na kuchangia ukuaji wa pato la taifa kupitia kodi.

SOMA ZAIDI

Tanzania kuwa Guangzhou

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Biashara na Usafirishaji cha Afrika Mashariki -EACLC,  Catherine Wang amewataka wafanyabiashara Nchini kuchamkia fursa ya uwepo wa kituo hicho ili kujikwamua kiuchumi

Utekelezaji wa kituo hicho umeanza mwezi Mei 2023 na umekamilika mwaka huu ambapo umegharimu shilingi bilioni 282.7 hadi kukamilika kwake na kinatarajiwa kuzalisha ajira rasmi zaidi ya elfu 15 na 5,000 zisiz

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button