KOREA KASKAZINI : ZOEZI la kufanya majaribio ya kurusha makombora limeanza nchini Korea Kaskazini baada ya kuzindua kiwanda cha kurutubisha madini ya urani na kuahidi kuboresha silaha zake za nyuklia
Korea Kusini na Japan zimethibitisha taarifa hizo, wakati Wizara ya Ulinzi ya Japan iliposema Korea Kaskazini huenda imefyatua kombora la masafa mafupi.
SOMA : Urusi, Korea Kaskazini washtukiwa
Tukio hilo linakuja baada ya taifa hili la Korea Kaskazini kutengwa baada ya kuonyesha vinu vya kuzalisha mafuta kwa ajili ya mabomu ya nyuklia.
SOMA: