KLABU ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa mshambuliaji Aubin Kramo kutoka Asec Mimosas kwa mkataba wa miaka miwili.
–
Kramo (27) raia wa Ivory Coast ana uwezo wa kucheza winga zote mbili na kucheza namba 10.
–
Hatua hiyo ni muendelezo wa Simba SC katika kujenga kikosi kipya kuelekea msimu ujao.