Lowassa kutetea ubunge Monduli

ARUSHA: Kinyang’anyiro cha udiwani na ubunge kwa Mkoa wa Arusha kimeanza ambapo Mbunge wa Jimbo la Monduli, Fredy Lowassa amechukua fomu na kutetea nafasi yake.

Mwandishi wa habari hii alishuhudia zoezi hilo la uchukuaji fomu ambapo Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Monduli, Rukia Omary amesema aliyefungua pazia la uchukuaji fomu ni Lowassa.

CCM yazuia wapambe, misafara uchukuaji fomu

Fredy amejitokeza mapema leo kuchukua fomu ambapo zoezi hilo limeanza leo na linatarajia kuisha Julai 2 mwaka huu.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button